Saturday, February 19, 2011

Mimi na Digital Yangu Ndani ya Jiji la Mwanza ..

Ndani Ya RocK CitY MwanzA! MwanzA!



Mwanza!! Mwanza!! Mwanza!!!Mwanza!!
WAATHIRIKA WA MILIPUKO YA MABOMU YA GONGO LA MBOTO
WALIVOOKOLEWA NA KUPELEKWA UWANJA WA UHURU
Mama wa watoto wa tatu aliejitambulisha kwa jina la Zawadi Hassan akiwa na watoto wake wawili huku akihuzunika kwa kutokujua alipo mtoto wake mmoja wapo kutokana na kukimbia kwa kujinusuru na mabomu yaliyokuwa yakilipuka usiku wa kuamkia leo huko gongo la mboto
Sehemu ya watoto waliookotwa huko Gongo la Mboto wakiwa ndani
ya gati wakati wakiletwa ndani ya uwanja wa Uhuru jijini Dar mchana huu
wengine wakiendelea kuletwa hivi sasa
                       Uandikishaji ukiendelea kwa wahanga wa mabomu ya huko Gongo la Mboto
Wengine wakiwa wamejipumzisha kutokana na uchovu wa usiku kucha kwa hali iliyokuwa huko Gongo la Mboto kutokana na Milipuko ya mabomu katika moja ya maghala ya kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) iliopo huko Gongo la mboto usiku wa kuamkia leo
Wadau wa Msalaba Mwekundu wakiendelea kutengeneza mahema ya kuhifandhia wahanga wa mabomu yaliyoripuka usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu wengi kupoteza makazi yao
hali bado si shwari huko Gongo la Mboto kwani bado idadi kubwa ya watoto na wakazi wa maeneo hayo wanaendelea kuletwa uwanjani hapa

Hivi ndivyo Jiji la maraha Dsm lilivyotikiswa
na milipuko ya mabomu Gongo la mboto

No comments:

Post a Comment

Pages