Matunda(Pichez) ndio ulikuwa msimu wako, tunamek
tu damu mwilini
Hata Songea magorofa yapo kibao tatizo kudizaini Mmiliki
wa Mjengo huu Ni Mh. Diwani anaitwa Ngalomba
wa Mjengo huu Ni Mh. Diwani anaitwa Ngalomba
Tukitoka dar lazima tupite pande hizi ndio tufike huko
kwetu kwa wamatengo (Jijini Mbinga) Songea
Mi & mshikaji wangu Peter Ngalomba (True gangster)
Frm K'nyama hii ndio luxury yetu ya
kuingia nayo Songea City
pande za mbinga district embe za kuzoa na kumwaga,
ni za kuzidi sana, no hard life there.
ndo kwetu songeaaaaa!!!
hali hii Sio masika, ni kwaida ya ke, iwe masika
au kiangazi hali haibadiliki
Kona za Kitonga tukielekea kwetu Songea City
Hapa nikiwa home with ma' Bro Mr. Baraka
nikiwosh ma klozes
No comments:
Post a Comment